MUHAS KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA FACT MISSION YA UJERUMANI KUWEZESHA WANAFUNZI WA KIKE WENYE UHITAJI MAALUM KUSOMEA FANI ZA UPASUAJI
Chuo kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa kushirikiana na Taasisi kutoka Ujerumani Fact Finding Mission wamekutana na kufanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia vijana wa kike wenye mahitaji maalumu kuweza kusomea taaluma mbalimbali za upasuaji yaani (surgery). Lengo la Kikao hicho kilikuwa ni kujadili maeneo ya kuanzisha ushirikaiano kati ya Ujerumani, Malawi […]



